Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 22, 2022

SOMO;KAZI ZA MZEE WA KANISA

SOMO; MAJUKUMU YA MZEE WA KANISA NDANI YA KANISA. 1:Walio na uwezo Wenye kumcha Mungu 2:Watu wa kweli / si wenye ndimi mbili 3:Wenye kuchukia mapato ya udhalimu 4;Wenye kujawa Roho wa Mungu 5;Wenye kujali na kutunza familia zao /mahusiano mema katika familia 6;Wenye kushuhudiwa mema na watu walio njeWatu wasiolaumika 7;Wenye kiasi na busara/hekima Wenye kujali/kufuata utaratibu 8;Si watu wa kujadiliana(:: si watu wa kubishana) 9;Wasiwe wepesi wa hasira 10;Wasiwe watu wa kujipendekeza nafsi zao 11;Walio kielelezo kwa maneno mema na matendo mema, usafi, imani, na upendo. {Kut.18:21; Mdo.6:3; 1Tim.3:1-13; 4:12-16; Tito 1:5-11; 2:1, 7,8} MZEE WA KANISA (::: Mwangalizi wa Kanisa) Ni daraja lenye madaraka makubwa. 👉👉Mzee wa Kanisa Apaswa awe :1.Aliyejitoa kikamilifu kwa Kristo. 👉🏿“Huwezi kuwa na mvuto utakaowabadilisha ...

SOMO; NGUVU YA MAMLAKA

SOMO ; NGUVU YA MAMLAKA ILIYOMO NDANI YAKO INAVYOAMUA HATIMA YA MAISHA YAKO Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa WhatsApp Number+255759861768 Jumapili Tar 9/1/2022 USHUHUDA Kasemwa alikuwa mtu anayeteseka na Maisha ya magonjwa magonjwa akawa amefika Kanisani H.i.v inamtesa nikamuuliza H.i.v uliipataje akasema Babs Mimi sijui nikamwuliza Nini Tena kinachokusumbua akasema mahusiano Yangu Yanashinda kila mwanaume naye mpata anakuwa Tayari kwenda Kutoa mahari lakini Mimi naongopa kwenda kupima Ndipo nilipoiona MAMLAKA YA UKIMWI Inavyomuendesha 1;Ameipa nafasi mamla ya h.i.v ikae ndani Yake 2:Anataka mamlaka ya Afya iondoke ndani Yake lakini hajui aliipaje Mamlaka hayo nayo inangoma kuondoka 3;Inaanza Kumpangia Wewe hutaolewa Sababu Mimi H.i.v nipo nawe nimekuoa 4;Anaikumbalia Kasemwa anakaa Singo kisa ile mamlaka ya ukimwi IPO Afsnye Nini Sasa Lazima Ajue aliipaje nguvu Kubwa H.i.v Iwe na mamlaka Makubwa ndani Yake Kisha aseme nitaolewa na sitameza dawa au kuisikiliz...

SOMO; KUOKOKA NA MWILI

SOMO: KUOKOKA MWILI NA ROHO  Karibu Tujifunze Pamoja  Somo hili Watu wengi wamekuwa wakiokoka rohoni Miili yao inakuwa bado ni Dhaifu inayoishi kwenye dhambi na Kutenda Dhambi Kwa Kuwa Mwili siku zote ni Adui namba moja Anayemfanya mwanadamu Akosane na Mungu wake. Wapo watu rohoni wapo vizuri wanaomba na mpaka wanawafungua watu wegine lakini miili yao bado inawatumikisha kuwa watumwa wa dhambi na hawana ujasiri wa kusimama kujizuia kutenda dhambi. Hebu fatana na ujumbe huu utakuponya  Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa MAMBO HAYA HUTOKEA MTU ANAPOOKOKA MWILI (FAIDA ZA KUOKOKA MWILI) 1: MAGONJWA HAYATAKUTE$A KWA KUWA MWILI UMEOKOKA Mithali 3:8 [8]Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako Utaufanya Mwili Wako Uzidi Kupendeza nakunawili kwakuwa umeuepusha. Na Dhambi 2;MWILI WAKO UTAUFANYA USITENDE MABAYA NA HUTAKUWA NA MAJONZI AU KUFANYA YACHUKIZAYO. Mhubiri 11:10 [10]Kwa hiyo ondoa majonzi moyoni mwako, nawe uuondoe ubaya mwilini mwako; kwa...

SOMO: CHANZO CHA IMANI KUULETA MATOKEO

SOMO: CHANZO CHA IMANI KULETA MAJIBU. Kitabu  Warumi;10 9-25 IMANI; Ni uhakika Wa Unachokiongea Kitakuwa Kama ulivyosema. IMANI huwa ili ikupe matokeo au ifanye kitu lazima usikie Mfano; Huna Tatizo unaenda Kupima KWA Daktari Anakuambia wewe hutazaa Kizazi chako kina shinda kwa Kuwa Umesikia Neno Kizazi Kinashinda Kweli Utakuwa na Shinda. ILi Upone Unatakiwa usikie Kizazi chako hakina shida MAMBO YANAYOIFANYA IMANI YAKO ILETE MATOKEO. 1:KUSIKIA NA KUELEWA NENO Tusome;Yohana 5:24 [24]Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani. 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Warumi 10:17 [17]Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo. Kuna maneno mengi utakayoyasikia Kuna a)Maneno Ya Mungu b)Maneno Ya Watu c)Maneno Ya Moyo katika Kuwaza au Kufikiri Katika Maneno Haya Lolote litakalokuwa Nzuri litafanyika na utaliishi Mfano; Uka...