Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 31, 2021

SOMO; UTAFIKA KANISANI

SOMO; UTAFIKA HAPA KANISANI Ayubu 38:11 [11]Nikasema, Utafika mpaka hapa, Mbarikiwe Watu mnazidi Kuchukua Hatua Ya Kuamua Kufika Kanisani Kama Angizo la MUNGU Kuweza Kuwasaidia nakutatua mateso Yenu Kupitia Masomo Yaani Neno la MUNGU na Hakika watu Wanafunguliwa na Wanamuona MUNGU Mtu anayefika nitofauti Sana na mtu anayeishiakusoma TU mtandaoni na unamuombea kwenye Simu. Sasa Chukua hatua Ya Kutafuta Suluhisho ya Tatizo lako na Kutafuta uso wa MUNGU Kwa Kufika Madhabahu ukiwa na Biblia Yako Notbook Yako Pen na Ukija Utaratibu utakaa SIKU Tatu Kula Utajigharamia Pakulala papo LAKINI Mkija MKE na mme mtalazimika muwe na hela ya kulala nyumba za wageni. Wewe Ukiishia Kukaa TU Unatengemea MUNGU atakuhudumia umekaa hapo utaendelea kusubiri Mkono wa Bwana utende kumbe unaitajika TU ufundishwe Neno la MUNGU SI Kila Tatizo unaitajika uombewe kwenye Simu au ukiwa nje na Kanisani. KWANINI MUNGU ALIANGIZA MNAFIKA KANISANI 🌳 Mara ya KWANZA nilikuwa nikiombea kwenye Simu TU watu ...

SOMO: UKOMBOZI WA DAMU

SOMO: UKOMBOZI WA DAMU Vitabu Rejea👉🏿⚠️ Mathayo:27:2-26👉🏿Yohana:19:34👉🏿 Waefeso:1:7👉🏿Waebrania:10:19-29👉🏿UFUNUO;12;11 Nikiwa Katika Uwepo na Tafakari Juu Ya Watu Wanaofika Kwa Ajili ya Ukombozi Hapa Kanisani wakitoka mikoa mbalimbali Nasikia Sauti Ikisema Ukombozi wa Damu Ukombozi wa Damu Wakomboe Damu Zao.Nikazidi Kuhoji Sauti ili inipe Vitabu ikanipa Vitabu nikasikia Adaa Somo na wengi watafunguliwa Kama Somo la Vifungo ambalo nilikupa na linaponya wengi Sasa Ukombozi wa Damu itawaponya wengi Karibu wewe msomaji wa Nakala za Mpakwa mafuta na mbeba maono ya Bwana Pastor Richard Ambaye Ni Askofu wa makanisa ya Holy Spirit Tanzania WhatsApp number+255759861768 Tusome Mithali 12:6 [6]Maneno ya waovu huotea damu; Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa. 👉🏿👉🏿Kila mtu muovu hufatiliwa na Dhambi ya Damu Pasipo Yeye Kuelewa ...