Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 24, 2023

SOMO:JINSI YA KUFIKIA MALENGO YAKO

SOMO: JINSI YA KUFIKIA MALENGO YAKO ULIYOJIWEKEA KATIKA MAISHA YAKO . 🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇 MALENGO NI NINI? NI Ramani Zima Ya Maisha Yako Huwezi kufikia malengo kama Ramani yako kwenye akili yako na ufahamu wako. Kupitia Somo Hili Linakupa mbinu na njia zitakazo kusaindia wewe Kufikia malengo Yako  Soma kwa umakini nakufatilia poit moja baada ya nyigine. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni  WhatsApp +255759861768 1:CHANGUA MALENGO YALIYO NDANI YA UWEZO WAKO. Ni vyema unapopanga malengo uyaweke yaliyo ndani ya uwezo wako ili kukurahisishia kuyafikia malengo yako. Mithali 22:1 [1]Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu.  Matendo ya Mitume 15:7 [7]Na baada ya hoja nyingi Petro akasimama, akawaambia, Ndugu zangu, ninyi mnajua ya kuwa tangu siku za kwanza Mungu alichagua miongoni mwenu ya kwamba Mataifa walisikie neno la Injili kwa kinywa changu, na kuliamini.  Mungu yeye...