Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 16, 2025

SOMO:AINA ZA MABUSU NA MAANA ZAKE

           "DARASA LA UCHUMBA" ======={{{{{====={{{{{{{========== SOMO: AINA ZA MABUSU (KISS) NA MAANA ZAKE.  Mabusu Yalianza Toka Kipindi cha Adam Na Eva Vitabu vinaelezea Busu ni Hisia ya Upendo Rejea Vitabu.Mwanzo;27;26-27  2Samweli:20:9 Mithali;7;13 Wimbo:1:2 Mabusu huwa ishara ya upendo na heshima kubwa mno siyo kila busu utakalopewa linamaana moja kuna busu mtu akikubusu linaongea kwa habari ya kuhitaji Penzi lako jingine la kuonesha anakujali mno lakini anaongopa Jigine LA upendo tu Ni Vizuri kujua na ukaweza kutofautisha means kila Busu linaongea juu ya hisia Kali za Upendo Kati yenu wawili.  Naitwa Pastor Richard wa Morogoro Kutoka Kanisa LA Moto wa Yesu Karibu Ujifunze nami 1.BUSU LA KWENYE PAJI LA USO.  Busu hili maana yake nakujali nakupenda, na nakuthamini, ila hutumika kirafiki kindungu au hata kwa wapenzi pia. JINSI YA KULITUMIA Utambusu mtu kwenye paji lake la USO kuonesha Unampenda na Kumjali Litumie kubusu mtu wa karibu...