πππ₯π₯SOMO; UMEFICHWA NDANI YA TAMAA TOKA UPONEπ₯π΄π΄π΄
🌍🌎🔥🔥SOMO: UMEFICHWA NDANI YA CHUMBA CHA TAMAA TOKA HUMO UPONE 🔥🌴🌴🌴 Kabla Hatujaendelea Nawasalimu wanangu wote Nawaombea mnaouguliwa na Kupitia katika Jaribu la Tamaa Leo hii unielewe SoMo Hili Ukapone Tufunue Biblia Zetu Kama Unabiblia Fungua Warumi;1;22-29,7;5 waefeso 4:22 Tito:2;12 Yakobo:4;1-5 Mwanzo:3;16 Nehemia:6;16 Ayubu;14:10-16 Isaya;42;1-5 Weka chini Biblia Yako Tafakari Maandiko Dakika 3 TU. Uendelee kufun guliwa kwa kusoma SoMo Taratibu umetulia. 🌎🔥🔥UTANGULIZI🔥🌴🌴🌴 Tamaa huwa chazo Cha mtu Kuharibu malengo Yake na mfumo mzima w a mwisho wa maisha Yake kiroho na kimwili Mpaka Sasa Wapo watu wanajuta kwa tamaa Ambazo walizifanya kukimbilia Kutaka wafikie ndoa harakaraka wafikie mahusiano harakaharaka wafikie maisha mazuri harakaharaka wafiki...