SOMO: NGUDUA KUSUDI LAKO NDANI YAKO
SOMO;NGUDUA KUSUDI LAKO NDANI YAKO. NAITWA PASTOR RICHARD NIPO MOROGORO VETA DAKAWA ■■■■■■■♤♤♤♤♡♡♡♡♡ Kuna mambo unatakiwa unajua ili kujua Kusudi lako na Kusimamia Kusudi uliloitiwa. Kila unachokiona Kipo hivyo unavyokiona kimekaa kwa kusudi mwalimu mbele za Mungu mfano Samaki anapozaliwa Hujua kuongelea ndani ya maji kwa kuwa kusudi aliloumbiwa akae ndani ya maji na aongelee. MAMBO HAYA YATAKUFANYA KUJUA KUSUDI LAKO. 1:Sababu Ya Mungu Kukuumba ni Nini? Jiulize Kwanini ulizaliwa na familia hiyo na wazazi hao kwanini hukuzaliwa familia nyigine. 1 Wafalme 5:5 [5]Nami, tazama, nakusudia kujenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wangu, kama BWANA alivyomwambia Daudi baba yangu, akisema, Mwana wako, nitakayemweka katika kiti chake cha enzi mahali pako, ndiye atakayeijenga nyumba kwa jina langu. And, behold, I purpose to build an house unto the name of the LORD my God, as the LORD spake unto David my father, saying, Thy son, whom I will set upon thy throne in thy room, h...