SOMO:MAOMBI YA KUOMBA UNAPOTOA ZAKA,
SOMO; MAOMBI YA KUOMBA UNAPOTOA ZAKA(FUNGU LA KUMI). 👇👇👇👇👇👇👇👇 Soma Maandiko haya Tunayosimamia. Malaki:3:8-14, Luka,;18:10-12, Nehemia:13:12 Mwanzo;14;20 Kumb.Torati:14:22 MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUTOA ZAKA(FUNGU LA KUMI) 1.Usitoe Zaka Kama Siyo Kwa Baba Yako Wa Kiroho AU Madhabahu yako. 1wafalme;18;30-35 Mwanzo;22;1-19 2.Ukianza Kutoa Zaka Usimwimbie Tena Mungu au Kuacha maana utatembea na laana ya wizi wa fungu la kumi. Soma; Malaki:3:8-9 3;Fungu la Kumi ukilitoa Kwa Baba Yako wa Kiroho Katika Madhabahu yako litakubariki na Utainuliwa Juu mengi yatafunguliwa. Soma Malaki;3;10-14 4 Baraka mbalimbali huja kwako unapokuwa na msimamo wa fungu la kumi Kumb. Torati:28:1-20 5;Toa Fungu la Kumi ujue unayempa ni Mungu na Siyo Mwanadamu Ukitoa zaka mwambie Mungu nimekuwa mwaminifu wa Kutoa fungu la kumi fanya nami yangu haya. 1.Naitaji ndoa, 2.Naitaji nipande cheo kazi 3.Naitaji mapacha sita Naomba unibariki mpaka nishagae. Matendo;10;1-5, 1samweli.1;1-14 6; Weka Angano...