Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 3, 2021

SOMO:KAZI ZA MALAIKA

SOMO::✍πŸΌπŸ‘‰πŸΏKAZI ZA MALAIKA ✔️ πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡ Funua Vitabu hivi;Mwanzo:16;7-12πŸ‘‰πŸΏ Kutoka:3:2-5 Ufunuo:14;6-19πŸ‘‰πŸΏWaebrania:13:2,2;1-16 πŸ‘‰πŸΏYohana:5:4 Luka:1:38 Mwalimu; Bishop Richard Kanisa la Huduma ya Roho Mtakatifu Morogoro Veta Dakawa Simu WhatsApp+255759861768 ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ SOMO HILI LIMEANDALIWA NA ROHO MTAKATIFU NAKUWASILISHWA NA BISHOP RICHARD Katika nguvu ya Roho SI SoMo la kawaida Linaupako na mafunuo ya Kimungu. Malaika Ni Nini? Mailaka Ni watumishi wa Mungu waliopo mbiguni wanaoteswa Kazi Pamoja na Mungu mbiguni. MAANA YA MALAIKA Ni Utumishi wa Kimungu au Mtumishi. LENGO LA KUJIFUNZA UWAJUE KAZI ZAO NA WANAVYOTENDA KAZI SABABU KUU 1:Kuwatumia nakujua Jinsi ya Kuwatumia 2:Kuwa na elimu juu ya Malaika MALAIKA WAKOJE 1:Malaika Wapo wanaojitokeza kwa muonekano Kama Wageni au watu 2:Wapo Malaika wanaonekana Katika Utukufu wa nuru au cheche Kali za Moto TUAGALIE MALAIKA MMOJA MMOJA KAZI ZAO. TUNAANZA Na Malaika Ngazi ya Juu Ku...