SOMO:MAMBO YAKUONGEA WACHUMBA
SOMO:DARASA LA WACHUMBA WANAOENDA KUFUNGA NDOA SI MUDA MREFU UTANGULIZI Mabinti wengi huwa Wanafurahia Sherehe ya harusi na Akili Zao Kuzielekeza Kuhakikisha Siku Yao ya Harusi na Kujiandaa Kwa gharama nyigi Juu Ya Sherehe. Hali ya Upokeaji wa Bint na Kijana huwa tofauti Bint Huona Tukio la Sherehe Ni Kubwa Kuliko ndoa anayoenda Kuijenga. Nipo Hapa Leo Kwa Ajili yakuwaponya wachumba Ambao Wanaenda Kufunga Pingu za Maisha Hakuna Kitu Ambacho Kitaharibu Ndoa Yenu Endapo Unaingia Kuolewa au Kuoa Hamjawekana wazi 1;Historia Zenu 2:Familia Zenu Zilivyo 3:Imani zenu 4:;Kazi Zenu na Upatikani wa Uchumi wenu. 5:Mipaka na Usiyopenda 6:Malengo Yenu ya Kuishi Pamoja Usioe au ukaolewa na Mali au Kazi au Pesa Olewa na mtu olewa na utu utaifanya ndoa Yako iendelee mbele na mfanikiwe HAYA MAMBO HAKIKISHA HUJARUKA HATA KIPENGELE KIMOJA YAONGEENI NA MUWAKANE WAZI KABLA YA TUKIO LA NDOA. 1:HISTORIA ZENU. Vijana Wetu wengi Huwa hiki Kipengele wanakipuuza wakikutana huko mjini kila mmoja anak...