Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 21, 2021

MAOMBI YA UTIISHO

MAOMBI YA UTIISHO WENYE NGUVU MBELE YAKO 1;Maombi haya Yaombe Kila Siku unapotoka nyumbani 2:Maombi haya Ni Maombi ya Mamlaka Ya Kifalme 3:Unapoomba Tamka Kwa Kukanzia maneno Ninalidhibitisha Neno la Mungu mbele Yangu Leo Ninapotoka hapa Kwenda____Ninatuma nguvu ya UTIISHO ikaharibu kila mitengo ya Adui Zangu kila maneno ya Adui Zangu kila vikao vya uharibifu kila aliyesimama kuzuia mbele Yangu Kila Nguvu inayoandaliwa ya Rushwa Kila roho ya kucheleweshwa kila roho ya kupangiwa siku ya kurudi kila namna ya uharibifu hautasimama kwa Jina la Yesu Ni Neno linasimama Kutoka Kama Navyolikirii kwa Kusoma linasema(👉Kutoka 23:27 [27]Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikilia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuonyeshe maungo yao.)Nasema Leo hii Hakuna Adui atakaye Simama mbele Yangu Katika Jina la Yesu 🙏 Amen Rudia Mara 5 Kisha ndio nenda kwenye kazi zako @Pastor RICHARD Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Num...