SOMO:ISHARA ZA PAKA KIROHO ZILIZOHATARI
SOMO: ISHARA ZA KIROHO ZA PAKA NA USHINDI DHIDI YA MAAGANO YA GIZA Mwalimu: Pastor Richard (Morogoro) UTANGULIZI Ulimwengu wa roho hauna midomo ya nyama, hivyo hutumia ishara na viumbe hai kufikisha ujumbe au mashambulizi. Paka amekuwa akitumiwa kwa karne nyingi kama chombo cha upelelezi na madhabahu za kichawi. Muumini anapaswa kuwa na macho ya rohoni ili kutofautisha kati ya paka wa kimaumbile na paka aliyetumwa kama wakala wa giza. Ninaitwa Pastor Richard Wa Morogoro Veta Dakawa WhatsApp+255710889892 Hurusiwi kufuta au kuongeza hili ni somo la Kiroho soma mwisho naelekeza namn Mstari wa Msingi Tunaosimamia "Mwe na kiasi, kesheni; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ameze." ( 1 Petro 5:8 ) SEHEMU YA KWANZA: ✍🏾ISHARA 7 ZA KIROHO ZA PAKA Hizi ni Ishara Usipuuze Unapoziona Kiroho Zinakuwa Zina Maana Kubwa PAKA unapomuona Atoa Ishara hizi Paka ni Madhabahu Ya Kichawi 1. 1⃣➖PAKA KULIA SAUTI KAMA MTOTO NJ...