✍🏾✍🏾SOMO:PUPA
✍🏾✍🏾SOMO:PUPA(Usiwe na Pupa) Tufunue Biblia Zetu Tusome ✍🏾✍🏾Mithali;21;5 Mithali;23;18-23 ✍🏾 UTANGULIZI✍🏾 Leo Nataka niwafungue watu wafanyao vitu kwa Pupa bila Ustaraabu wao popote pale wanapofika wanaile Hali ya kufanya vitu kabla hata wenyeji hawajawakaribisha Yeye muda Ameshapazoea Mpaka chumbani na hata katika kula hajanawa au Kuomba Yeye Ameshaanza Kula watu wapo ambao nyumbani kwao walilelewa kutokuwa na Ustaraabu katika pale wanapofika sehemu yoyote ile Mungu Watu Kama hao hafurahii Mtu Ambaye Anakula chakula Kama kinaisha au anakunywa soda Yupo ugenini Mpaka wenyeji ukiondoka unawapa Maneno yakuongea Fanya kila Jambo Kwa Ustaraabu usiwe na pupa Popote unapoenda Hii Hali itakupa heshima ya Ustaraabu Usifanye vitu ovyovyo au shaghalabagala Fanya Kitu hata mwingine anaekutazama Aseme Mto...