SOMO: NDOTO ZA KUOTEA WEGINE
Somo;NDOTO NA TAFSIRI ZA KUOTEA WENGINE NDOTO NI UJUMBE AU TAARIFA UNAYOJULISHWA WEWE UOTAYE. Huu Ujumbe Unaweza Ukahusu Wengine Au Sisi Wenyewe Na ujumbe inaweza ikawa jambo lipo kwa wakati huo au linakuja au lilishatokea. Ayubu:33:14-15 Karibuni Ninaitwa Pastor Richard Wa Morogoro Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Tuma ndoto inayokusumbua Inbox +255710889892 1:Ukimuotea mtu amekufa 👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu hatakufa Roho ya mauti inamfatilia Omba kemea hiyo ndoto. Ninakataa roho za mauti kwa.. katika Jina la Yesu.AMEN 2:Ukimuotea Mtu umemfumania 👉🏿👉🏿 Unajulishwa Huyo mtu Atakamatwa na Uzinifu Omba kemea hiyo ndoto 3:Ukimuotea Mtu Anipita Barabarani anatembea wewe Umesimama 👉🏿Unajulishwa Huyo mtu atafanikiwa Kukuzidi wewe Omba ombea itimie 4;Ukimuotea Mtu anaumwa Sana 👉🏿👉🏿Unajulishwa ataenda kuumwa yule mtu Sana lakini Mungu atamponya Omba kemea hiyo ndoto 5:Ukimuotea Mtu anaolewa au Anaoa 👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu amef...