SOMO;TOKA KWENYE NCHI YA UKAME.
SOMO: NGUVU YA KUVUKA KWENYE UKAME -Vitabu:Torati:32:10, -1wafalme:18;40, -Yoeli:2;20 ,Yeremia:2;6, -Yeremia;17;6 -Yeremia:50;12 -Ezekieli:19;13 ✍️✍️Kuna Wakati Unaweza Ukawa Upo katika Kipindi Cha Ukame Katika Kipindi Ambacho Hata unyevuunyevu TU umekauka Hata kuziona Baraka Tena imekwisha Ulikuwa umesimama uazishe Jambo Fulani unafikia Kipindi umekaukiwa na Baraka Unaziona au Dalili za masika unaona nitalima mazao yangu nivune Gafla unalima halafu jua linawaka mbengu umepanda. Hiki huitwa ukame Hakuna mvua huzioni Baraka Zako Kumbe nikipindi kinachokuitaji Umuombe Mungu Akuvushe kwenye ukame usimwangalie mtu Au Kukata tamaa au kubaki njia Panda au kutulia kwenye ukame Kwenye Ukame huwa Tunaomba Tutoke kwenye Ukame wa Mawazo ukame wa fikira Ukame wa Kumtengemea mtu ukame wa mavuno ukame wa Baraka. Tunaitaji Tutulie nchi inayotoa mazao matunda mimea inastawi Leo Nataka Nifundishe wewe NGUVU ya Kukuwezesha Kutoka Kwenye Ukame Naweza Kuwa Nafundisha S...