Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 21, 2021

SOMO:Roho wa Bwana

SOMO:Roho wa Bwana* 2samwel.23:2 1Samweli:10:6 19:20  1Falme:18:12, 22:24 Mika:2:7 Isaya 61:1 Ezekiel 11:5 👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👂🏼 Roho wa Bwana Huyu Huwa ni Roho anayejishungulisha na Maisha ya Mtu kuyafanya yawe na ushirika Au Uhusiano mzuri kati ya Mtu na Mungu 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 *ROHO WA Bwana Anavyopatikana Ndani ya Mtu* Kuna vitu viwili tu Humfanya Huyu Roho akae na mtu 1:Akiwa Mtu wa Ibada na Mungu 2:Akiwa Mtu mwenye kujitoa kwa Mungu 👏🏽 *👏🏽ANAVYOMSAINDIA MTU* 👏🏽👏🏽 Huyu Roho wa Bwana Ndiye Humfanya Mtu Apate Ujasiri wa kusonga Mbele katika Ibada na Maombi Asiwe mtu wa wa kubebelezwa Huweka msukomo Au shauku...