SOMO: MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO YA MJI
SOMO: MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO YA MJI/KATA/KIJIJI/MTAA UNAPOISHI. Tambua Hili Popote Unapoishi Kama Eneo Hilo hujalishika na kulifungua litakutesa Sana Kiuchumi Kimaisha Kibali na Kutambulika huwa lazima Tuombe Kweli Kweli Wapo WATU hawaolewi kutokana Manner wanayoishi yamewakataa Wapo Ambao Wanaharibu mimba number ni mahali ulipo tu Hebu Tukaingie Pamoja HAYA Maombi unielewe ninavyokuelekeza mimi namna ya kuomba. MISTARI WA KUSIMAMIA ππΎππΎππΎππΎππΎ Ezekieli 48:31 Na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya kabila za Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja. MUNGU HUWA ANAKUSUNDI KUBWA MTU WA MUNGU KUKUPELEKA UKAISHI SEHEMU AU MJI WA UGENINI. ππΎππΎππΎππΎ Ezekieli 26:3 Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi kupigana nawe, kama bahari iinuavyo mawimbi yake. . TUTASHUGHULIKIA MAMBO MATATU. 1;MALANGO YA WENYEJI ULIO...