Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 23, 2020

Somo;Mitengo mitatu ya kichawi

👊SOMO: 👊Wachawi Hukunasa Kupitia Nyoka Mtengo Wao hata👊ri. Tusome: Vitabu Isaya;30;6 Yeremia:31:9 Muhubiri:10;8-11 Wachawi huwa Wanamitengo mingi inayosababisha wewe wakutese na mitengo Yao Leo Nataka Niongelee mitengo Yao mitatu 1:Mtengo wa Nyoka 2:Mtengo wa Pesa 3:Mtengo wa Ulimi wako Nalenga Maarifa haya yakuponye nakukusaidia ufunguliwe Sio uendelee kuteseka Na Ili Ufunguliwe Utoke kwenye mateso huwa lazima upate Mchungaji atakayejua wamekufungaje na Akunasue kwenye Mtengo huo. Veta Dakawa nishaanza Kuhudumia watu Hapa Kanisani Fika unasuliwe kwenye Mtengo. 👊 MTENGO WA NYOKA Huu huwa Ni Mtengo wanaoutumia wachawi kumnasa mtu au kumzuru au kumharibu Masharit ya Mtengo huu lazima mlengwa Amuone Nyoka Eidha kwa ndoto au Kwa macho mubashara Yule Nyoka Kwa Kuwa Ameunganishwa na nafsi Yako. Utafanya Mambo haya bila Kujua unajiagamiza au unamwagamiza mwanao mmeo mtoto 1;Utachukua fimbo umpige Akifa hatachukua muda mlegwa anakufa....