SOMO. MSAMAHA YER.31-34 KOLOSAI.3:13 MATH.6:14-15 ZABURI.86-5
SOMO:NGUVU YA KUSAMEHE MSAMAHA NI NINI? NI kufuta na kusahau makosa uliowahi kukosea au kukosewa. KUNA SEHEMU KUU MBILI ZA MSAMAHA . 1-MSAMAHA WA BINADAMU KWA BINADAMU 2*MSAMAHA WA MUNGU NA BINADAMU MSAMAHA WA BINADAMU NA BINADAMU. mathayo.6:14-15 ni hatua ya kuwafutia watuakosa yao waliowahi kukukosea na kusahau kabisa. KWANINI USAMEHE UNAMBIWA HATA KAMA MTU AMEKUUMIZAJE. 1"ukisamehe unafunguliwa vifungo vyako vya kukosa amani. 2"unapata amani katika moyo. 3"mungu anakuona mtoto msikivu unafata anavyokuamuru. 4"unapewa roho yakusamehe wengne. 5"upendo unatawala. NINI KITATOKEA USIPO SAMEHE NI LAZIMA ITOKEE 1:hautasamehewa makosa yako yote. 2"hautayashinda matatizo itakuewa kila siku nafuu ya kesho. 3*watumishi watakuombea sana mungu hatajibu hitaji lako. 4"moyo unakosa amani 5*ጠapito yakuzidi kila tatozo mungu analirusu. HULAZIMISHWI KUSAMEHE MAYHAYO 6;14-15 MSAMAHA WA MUNGU NA BINADAMU ZABURI.86-...