SOMO: MAJIRA YA BWANA YAMEWADIA
SOMO: MAJIRA YAMEWADIA YA BWANA Tufunue Zaburi ;102:13, Ezekiel;7;7-12, Daniel;7;12-25 Daniel:2;21, Luka:21:8-22 Kunawakati Unaweza Ukawa Unateswa Majira Na Wakati Kwa Kushindwa Kuelewa huu Ni wakati ngani Wakati Uliosahihi wa Bwana ukiwadia huwa Unaweza ukaendelea Kuumizwa au Kupitia Majaribu Ambayo Bwana Amekusundia Kukubariki Kwa Ajiri Ya Muda Wa Bwana. Leo Nakukaribisha Ujifunze kuyajua Majira ya Bwana Naitwa Pastor Richard nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Moto wa Yesu MAJIRA NI NINI? Ni muda uliopangiliwa na Mungu kukiendesha kitu Kama impendezavyo. MAJIRA YAMEWADIA YA BWANA 👉🏿Maana Yake Wakati Ulio Sahihi wa Bwana. KUNA MAKUNDI MAWILI YA MAJIRA YA BWANA. _________________________________________________ 1: MAJIRA YA BWANA YA KUKUPITISHA KWENYE MAPITO. Haya huwa Ni Majira Bwana Akiwa Anakuadaa nakukuimarisha Vizuri Kiroho nakukufanya uwe Mfano na Ukombozi kwa Wegine kwa kuwa hukupitisha hivyo Yeye...