SOMO:JINSI YA KUWEKA NADHIRI
SOMO: JINSI YA KUWEKA NADHIRI KWA MUNGU UTANGULIZI Nadhiri huwa ni ahadi au kiapo unachokitoa kwa kupatana na nafsi yako na Mungu pasipo kushawishiwa au Kulazimishwa na mtu yeyote Nguvu ya nadhiri huwa ni kubwa sana kwa mnadhiri yaani yule aliyeweka nadhiri kwa Mungu Sababu humfanya Mungu Atende Jambo hilo aliloweka nadhiri kwa kuabatanisha na kitu cha thamani au fedha au kitu kisichohamishika. Nadhiri huwekwa na Watu wanaojitambua nakujielewa Nini wanaweka na kwanani.Kama Hujielewi Usiweke Nadhiri inaweza kuwekwa moja au Zaidi kila nadhiri ikiwekwa husimama na nakiapo chake na nadhiri yake. Na huja kutenguliwa kama maneno Mfano; Mwaka huu nikjpata kazi mshahara wa kwanza ni wa Mungu #Mwaka huu nikiolewa nitamtolea mshahara wangu wote #Mwaka huu nikifanikiwa mtoto nitatoa viti kanisani Hizi Nadhiri hupaswi ujumuishe Sadaka ya kwenye Kupata kazi ndiyo hiyo kwenye ndoa laa! Viginevyo utamke neno moja linalojumuisha sentence hii moja kwa wakati mmoja. Mwanzo;28:20-2...