Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 16, 2020

SOmO JIFUNZE KUFUNGA MAOMBI YA KUFUNGA

,SOMO; JIFUNZE KUFUNGA MAOMBI YA LETAYO MAJIBU KATIKATI YA PITO NGUMU. Tufunue Vitabu Biblia ,Matendo;14;23 ,2wakoritho;6;5,Zaburi;69;5 Yona;3;5 Isaya;45;5 Kuna Wakati Unaweza Ukawa unafunga unaomba lakini hujibiwi KUMBE ikawafunga yako Ni bure Leo Tunataka Tujifunze Namna ya wewe Kufunga na Kuona Matokeo Maombi haya huwa Kila Ijumaa watoto wote wa Pastor Richard wanafunga Haijarishi ulipo Ijumaa imetengwa Kufunga Nakuomba siku hii Ni mhimu sio useme Mimi nipo Bali Hili Ni patano lenye kutudhihirisha tumeamua kutembea Pamoja katika Maombi inakuwa masaa 12 tu. ✍️✍️👉👉MAMBO HAYA ZINGATIA UNAPOKUWA UMEFUNGA UPO KWENYE MAOMBI ✍️ ✍️ 1;USIKWAZANE NA USIKAE KARIBU NA MTU WA KUKWAZA. 2;KAMA UPO KAZINI JIWEKE BUSY NA KUJITENGA MBALI. 3;USIINGIE MAOMBI YA KUFUNGA UKAKAA NYUMBANI LAZIMA SHERIA YA MAOMBI UENDE KANISANI KATULIE AU NENDA MLIMANI. 4;UKiwa UMEFUNGA Ujue Unaombea Nini Na UMEFUNGA ILI UTATUE TATIZO GANI 5;KAA UWE...