Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 4, 2021

SOMO:VIFO VYA MITUME WA KRISTO

SOMO:JINSI MITUME WALIVYOKUFA. Naitwa Pastor Richard Nakukaribisha Ujifunze Vifo vya mitume wa Yesu/ jinsi mitume walivyokufa. Itakujenga imani Mtume pekee ambaye biblia inarekodi mauaji yake jinsi yalivyokuwa ni mtume Yakobo ndugu yake  mtume Yohana. Huyu biblia inasema katika  Matendo 12:1-2,  kuwa Mfalme Herode alimuua kwa Upanga, alikatwa kichwa. Lakini kwa habari ya mitume wengine waliosalia biblia haijarekodi jambo lolote kuhusu vifo vyao. Hivyo ili kupata taarifa zihusuzo huduma zao na vifo vyao ilipasa watu warejee katika hadithi ambazo zinaamika ziliandikwa na watu ambao walikuwa karibu sana na mitume, au walioshuhudia vifo vyao. Japo habari hizo hatuwezi kuzithibitisha kuwa zina usahihi wa asilimia mia, lakini kwa sehemu kubwa zimethitishwa kuwa kweli, kulingana na kupatana kwa maneno ya mashuhuda. Mathayo: Mathayo alijeruhiwa vibaya na upanga alipokuwa anahubiri katika nchi ya Ethiopia kaskazini mwa Afrika. Na baadaye kukumbwa na mauti kuto...

SOMO; MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA MADHABAHU YAKO BABA WA KIROHO na Sadaka

SOMO: MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA MADHABAHU, MCHUNGAJI NA SADAKA Karibu Katika Mwendelezo wa Somo Letu la Madhabahu Sehemu ya Sita kuhakikisha Hatufanyi Makosa Kujenga Madhabahu Zetu Zilizo na Nguvu za Kuleta Majibu Yetu Tuombapo. MAHUSIANO Ni Vinavyoweza Kutengemea Vitu Vitatu Katika maisha yako A) MADHABAHU NDANI YAKO B) MCHUNGAJI BABA WA KIROHO. C) SADAKA UNAZOZITOA KWENYE MADHABAHU YAKO. A; MADHABAHU(Mathayo;23:19 Kutoka:30:28,34:13 Tulisema Madhabahu Ni mahusiano Kati yako na Mungu au Shetani NIKASEMA KUPOKEA MAJIBU NA KUMUONA MUNGU Hutengemea Sana Madhabahu Unayoitolea Zaka Ya Fungu la Kumi kila mwezi Kama imebeba majibu yako UTAIJUA KUWA HII MADHABAHU YAKO KWA BABA YAKO WA KIROHO UNAPOTOLEA ZAKA DALILI HIZI UTAZIONA 1:Utafundishwa Neno Huyo mch. Utamuelewa na Masomo Yake yatakubadilisha Kiroho Utakuwa. 2:Atakuombea Huyo mch.utaanza Kuona mabadiliko ulivyokuwa Kabla na Baada 3:Utatoa Zaka na Utaona Vitu vikifunguka kwako hapa toa Zaka kila mwezi usiruke huwezi ukamdai...