Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 2, 2026

Somo:AGANO LA DHABIHU

SOMO: AGANO LA DHABIHU Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Tar. 3-1-2026 Rejea Kitabu.  ZABURI;50 soma yote Kutambua Agano la Sadaka yaitaji ufahamu mkubwa Wa Ki Mungu Watu Wengi Wanaishi nje ya Agano la Sadaka ndiyo maana Huwa wanamuona Mungu Kama Ananjaa au Wanawapa wachungaji na Hata akiwa Anasali kanisa limepasuka Ukuta na kwake kukawa kumepasuka ataanza kuziba UFA Wa nyumbani kwake.  AGANO LA DHABIHU ni Patano lako na Mungu wako Katika Kujitoa Sadaka Kama vile.  Malimbuko, Fungu la Kumi, Thamani, Shukurani, Nadhiri,Kujenga Madhabahu, Kuteketezwa Nk.  HAPA unatakiwa Utoe Sadaka Mwenyewe Kwa Moyo usiokuwa Wa kulazimishwa Sasa Mpaka ufikie hicho kiwango Ujue   Moyo Wako Umepatana Na Mungu Kuona Umhimu Wa uhusiano wako uliopo Wa Sadaka na Mungu Kama hicho Kiwango hujafikia HUWEZI kuwa Mwaminifu Hata iweje AKILI Yako inawaza changamoto haioni Madhara IPO Mbele ikatolee Sadaka miungu Kuliko kuigusa Madhabahu ya Mungu kwa Sadaka  SABABU ZA KU...