JINSI YA KUOMBA KUSHUGHULIKIA ROHO YA TAMAA
JINSI YA KUOMBA KUSHUGHULIKIA ROHO YA KUTAMANI MABAYA(TAMAA) Karibu Katika Maombi Ya Kushugulikia roho ya Tamaa inayozidi kukutesa na imeharibu maisha yako njia Zako uaminifu. 👉🏿 MSTARI WA KUSIMAMIA Warumi : Mlango 1 24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Naitwa Pastor Richard Kanisa la Roho Mtakatifu WhatsApp+255759861768 Morogoro Veta dakawa ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ MAELEKEZO YA KUFATA UNAPOOMBA. 1:Ombea hiyo Dhambi inayokufanya uitende kupitia Tamaa. 2:Chukua DAKIKA 45 TU zikishakamilika Stop Maombi haya. 3:Unaomba Kwa Unyenyekevu Katika Stayle ya Kupiga magoti. 4:Omba Kwa Kutamka Tamaa inayokutenga na Mungu MAOMBI YAOMBE HIVI Ansate Yesu Kwa Kunipa Ufahamu Huu nakuniona mwanao napotea katika D...