Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 16, 2018

SOMO ZIJUE SIKU ZA KUPATA MIMBA

*SOMO:NJISI YA KUELEWA SIKU ZA KUPATA MIMBA* Na Sababu zinazofanya Wanandoa wasizaye haraka kutokujua Elimu hii Ufunuo:12:2 Isaya 26:17 Ayubu:3:3 YAI KUPEVUKA HUA HATUA YA KWANZA KUIJU Yai la Mwanamke hupevuka siku 14 kabla ya ya siku ya bleed. Hii ni siku muhimu sana kwa wana ndoa kuijua. Siku hii yai huwa linakuwa limeshakomaa na tayari limeshatoka katika nyumba yake ya mayai (ovaries) na kuelekea katika mirija ya uzazi (fallopian tube) tayari kukutana na mbegu ya kiume. Na kumbuka mbegu za kiume huishi muda wa masaa angalau 72 kwa hiyo muda wowote ndani ya masaa 72 kabla ya yai kutoka katika ovaries mtwanamke anaweza kudungwa mimba. Mfano kama yai linatoka tarehe 13, basi ukifanya tenbdo la ndoa siku ya tarehe 13,12,11,10 zote unaweza pata mimba - kwa hiyo hizi huitwa siku za mimba (fertile days), tofautisha na siku za hatari ambazo ni kuanzia siku yai limetoka na siku kadhaa baada ya yai kutoka.  *KWA NINI BAADHI YA WANANDOA HUCHELEWA KUTUNGA MIMBA* ? Kupata mtoto...

SOMO : KUELEWA SIKU AU DALILI ZA KUKUJULISHA Upo Tayari Kupata mimba

SOMO : MAHUSIANO KUJUA MCHUMBA MWENYE MALENGO NAWE

*SOMO: HATUA  NZURI  ZA  KUMJUA MCHUMBA WAKO ALIYE NA LENGO NAWE* Vitabu vya Biblia tunaongozwa na Zaburi 119:9 Torati 22:23-28 Mithali 7:7 Muda au Wakati mzuri wa kumjua huyu kweli ni mchumba wangu  Hakikisha Uwe Umefata Hatua hizi za Kutunza Uchumba wenu usivunjike Asiwe mtu wa kutaka mzini Kabla ya hatua hizi mabint na wavulana hufikiri kuzini Kabla ya kutabulishana ni nzuri huwa ni dhambi kumbwa ambayo hupelekea mtu asiolewe au kuoa anakuwa anaanzisha mahusiano yake hayadumu 1: *Hatua Ya Kwanza Mtambulishe kwa Marafiki Zako* Hii huwa mmekaa miezi 4-6 Katika uhusiano bila kuzini na mkiwa mnachunguzana na kujuana mapungufu yenu 2: *Hatua ya Pili  Mtafute mtu atakayekuwa anakuongoza na kukushauri mwenye uzoefu wa mahusiano au mchungaji* Hii huwa mkishafikisha Miezi 6 YA uhusiano wenu au unaweza ukawa na Mlezi wako WA mahusiano utakayemweleza Kila kitu utakayemwamini wewe Bint au Mvulana  waweza kumwambia mchungaji au rafiki yako 3: *Hatua Ya Tatu...