SOMO.UKWELI KUHUSU KUFUNGA SOMO LIKIFAFANULIWA KATIKA ROHO MTAKATIFU. ISAYA.58:3-12.MATHEW.17:21,JOEL.2:12.HESABU.
KUFUNGA NI NINI ? ni kukataa kuendeshwa na matatizo au majaribu yanayokukabiri . KIBINADAMU ni kuacha kula masaa kadhaa huku ukiomba mahitaji yako kwa MUNGU. KUNA AINA GAPI YA VIFUNGO . ZIPO SEHEMU MBILI TU ZA KUFUNGA . - KIFUNGO CHA KUAMBIWA FUNGENI ( KIFUNGO CHA JUMUIA YA WATU WENGI ) - KIFUNGO CHA KUJIAMULIA UFUNGE ( KIFUNGO CHA HIARI ) KIFUNGO CHA JUMUIA HUWA CHA KUAMBIWA KANISANI FUNGENI . hiki kifungo hushinikizwa na mchungaji kumwambia muumini fungeni masaa kadhaa jambo ambalo huwa kinyume na MUNGU na hii hutokana na watu kuipeleka biblia katika ufahamu wao wakibinadamu bila kujua biblia imeandikwa katika roho na si damu na nyama . NAO HUSIMAMA NA ANDIKO . MATHAYO .17:21 USEMAO . "mambo mengine hayawezekani mbali kwa kufunga na kuomba . wao walilibeba andiko kama ilivyo KUMBE YESU ALIONGEA KATIKA ROHO AKIMANISHA . KUWA . "mambo mengine hayataisha kwa kusali tu ...