SOMO:HATUWEZI KUTIMIZA WITO
SOMO; KIONGOZI BORA KATIKA KAZI YA MUNGU. 《☆UTANGULIZI ☆》 Naotwa: Bishop Richard Nipo Morogoro Veta WhatsApp +255759861768 Karibuni Katika Somo hili Linalenga Uongozi ndani ya Kanisa la Kristo Ili Kulijenga Kanisa Katika Misingi bora ya uongozi Mungu ameweka ujumbe huu ili ujifunze Fatana nami katika Somo hili mpaka mwisho......... Kiongozi Bora= Ni Mtu Aliyeitwa na Mungu ili kuwafanya au Kushawishi watu wa Mungu Kulitimiza Kusudi la Mungu Kimungu na Kwa Wakati wa Mungu. Ubora wa kiongozi katika kazi ya Mungu upo kwenye yafatayo; a)Mwitaji =Kujua aliyekuita na kwanini akuite wewe kati ya watu wengi. b)Mtu aliyeitwa= Kujitambua kama wewe ndiye uliyeitwa kati yao walio wengi. c)Ushawishi wako=Unanguvu ngani ya kushawishi watu na unakubalika kwa watu wako au hawakukubali lazima ukubalike kwa unaowatumikia. d)Namna Ya Kulitimiza Kusudi uliloitiwa=Ni vyema uweke mikakati ya malengo kulitimiza kusudi lako ...