MAOMBI YA KUONDOA HOFU MBALIMBALI
MAOMBI YA KUONDOA HOFU MBALIMBALI NDANI YAKO ZINAZOJITOKEZA KUKUTESA Mstari wa kutuongoza ni huu.👇👇👇 Ayubu 18:11 [11]Matisho yatamtia hofu pande zote, Na kumfukuza karibu na visigino vyake. . Matisho au Wasiwasi Husababisha mtu awe na hofu na Anapotengenenza hofu tayari hutengeneza Ugonjwa Ambao huathiri mifumo ya ufahamu kwake nakupelekea Awe na hofu uliobatana na Woga. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania WhatsApp +255759861768 KABLA HUJAOMBA TAMBUA HAYA. 1.Hofu imekujaje kwako kuna habari umesoma imekutisha au taarifa umepokea. 2.Anza Kwa Kufuta hiyo Taarifa au Video uliyotazama ikakutisha Sababu ndani yake adui ametumia hilo neno akuingie. 3.Omba kwa kufata maelekezo ya kwenye ombi kila uombalo. 4.Ukimaliza andaa Sadaka yako uliyonayo Mwishoni mwa maombi kuna maelekezo ya uombeaji Sadaka yako ukiituma unanipigia unaniambia ulikuwa maombi fulani 5.Maombi haya utaomba siku ta...