SOMO: MAKERUMBI
SOMO: MALAIKA ( MAKERUBI) Karibu Mwana Wa Mungu Tujifunze Leo Makerubi Ujue kazi zao na muonekano wao Vitabu: Ezekiel 28:14-16 Mwanzo:3:24 Kutoka:25:17-22 Makerubi ni Malaika Wakuu kuliko Malaika Wegine Hawa wameaminiwa na Bwana kuzunguka kiti cha enzi. MUONEKANO WAO MAKERUBI. 1:Wana mabawa Sita matatu kulia matatu kushoto. 2;Nyuso zao zinag'aa Kuliko Wegine 3;Wakubwa Sana Kuliko wegine. 4:Wanaonekana Kama Tai Simba Moto au Ng'ombe wa dhahabu nk. 5;Huonekana Mwanga mkubwa umefunika chumba au kukuzunguka Saa nyigine wanapokutokea. WAMEGAWANYIKA SEHEMU KUU MBILI. 1:MAKERUBI WANAOZUNGUKA KITI CHA ENZI NA KUMSIFU BWANA. Hawa husema kila wakati Hosana Hosana mbarikiwa Unasitahili wewe Bwana Unastahili wewe Bwana. Wanaozunguka kiti huanza na Safu ya kwanza Makerubi Wanne Wanazunguka utukifu wa Mungu. Wanafata MAKERUBI Sita Hawa kila siku mmoja wao huenda kuchukua maombi ya watakatifu na Wana Wa Mungu. Pale unapoomba malaika huyachukua maombi nakuyapeleka kwa Mungu ikifika ha...