Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 20, 2020

SOMO; JINSI MTU ANAVYOVISHWA VAZI LA MATESO NA SHETANI

๐Ÿ’ช๐Ÿ”ฅSOMO; MWISHO WA KUVAA VAZI LA MATESO NAKUVAA VAZI JEUPE VAZI LA KUTOKUTESWA TENAaa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Inawezekana Usinielewe au Kujua Kwanini nimeamua Kufundisha Somo Hili Kwa Sababu Mungu Ananiambia Vazi Fungua Wanangu watoke kwenye mavazi wamevishwa Pasipo wao kujua Namhoji Baba Anasema Katika roho Shetani na wachawi hutumia rangi nyekudu au kitambaa kumfunga mtu kichwani au mkononi Na wakimfunga Anapokea mateso Akaniambia SOMA Mathayo : Mlango 27✍️ 28 Wakamvua nguo, wakamvika vazi jekundu๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Shetani Anapomvua mwanangu Vazi la Haki Humvisha vazi Jekundu ili wamtese AkasemaVazi La Pili Shetani huwavisha Wanangu Vazi Jeusi Haya mavazi huvishwa Pasipo Kuwaona Adui zao Wakiwavisha Huwa Wanaanza Kupata Lango la kuingiza mangojwa Kufunga Baraka Zao Kufunga Uzazi wao nk ✍️✍️TUSOME VITABU HIVI KWENYE BIBLIA  Isaya;63;1-5 Yakobo;5;2-5 Mathayo;9;16-22 Marko;5;27-29 Kutoka;28;3-20 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟKama Ndio umeanza Kunifatilia Naitwa Pastor Richar...