SOMO; MADHABAHU Part 2
SOMO; JENGA MADHABAHU ILIYOMO NDANI YAKO UTANGULIZI HUWEZI KUPOKEA MAJIBU USIPOJENGA MADHABAHU HUWEZI KUPOKEA MAJIBU KAMA SADAKA HUTOI NA HUWEZI KUTOA SADAKA HUNA MADHABAHU NA USIPOKUWA NA MADHABAHU HUNA MAJIBU 1Wafalme;18 Soma huu Ushuhuda Jinsi Eliya alivyojenga Madhabahu Yake na Akamuita Mungu Moto ukashuka Si Jambo Jepesi Uweke maji Uchukue g,ombe ukatekate halafu Muombe Mungu Alete Moto apike wakati huo Anashindana na Watu 450 Wewe Unaweza Ukawa Mtu mmoja au wachawi mapepo yakakutoa Jasho au Tatizo likawa Sungu hailishagi Kutokana Hujajenga Madhabahu Inayoleta Majibu Hujajenga Madhabahu Takatifu Yaani Lazima Uelewe MUNGU wako Ni Mtakatifu na Ni mkuu mnoo Lakini ukijenga mungu wako bado Ukawa Unatenda maovu Unazini huku unamuomba Mungu Hapo Tayari Unakuwa umejega mahusiano na mungu mchafu. UJEZI WA MUNGU KWANZA NDANI YAKO. Mungu Ni Mungu TU Hana analoweza Kushindwa Isipokuwa ndani Yetu au...