Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 3, 2020

Somo; JIFUNZE MAOMBI YA VITA vya KIROHO

✍🏾✍🏾SOMO; JIFUNZE MAOMBI YA VITA✍🏾 1wafalme;8;45-54 2wafalme:20:5   2Nyakati:7;15 Karibu Mwanangu Naitwa Pastor Richard Naekuwasilishia SoMo Hili Lengo la SoMo Ujue hatua na unavyotakiwa uombe kupambana Vita katika ulimwengu wa roho Hali itakayokufanya ujinasue katika ulimwengu wa Vita vinavyokukabili kiroho. Mambo Ya KUZINGATIA katika Maombi ya Vita 1;Uwe Tayari mwili wako na Akili yako Kuelekea vita ya kiroho 2:Usiwe umechokachoka au unaomba huku Upo nje ya eneo la Vita akili yako itulie. Hatua za kufata Kabla yakuanza Maombi ya Vita; 1;Omba utakaso na Kujitakasa kwanza 2;Omba roho wa Maombi ya Vita aingie aiongoze Vita Mfano karibu roho wa Maombi ya Vita karibu unifundishe kuomba karibu unitawale  karibu karibu 3:Omba Kujifunika mawazo akili maneno yako nk kwa Damu ya Yesu 4;Kiri ujitangaze katika ufalme wa ngiza na Anga la eneo ulipo kuwa Mimi Richard Ni Moto Tena sikia falme za majini ya kike na ya Kiume wachawi n...

SOMO; ONDOA FIKIRA Chafu ufunguliwe

✍🏾✍🏾SOMO;ONDOA FIKIRA CHAFU UFUGULIWE 2Wakoritho:2;11,3:14,4;10 na 10:5 Matendo;8;22 Karibuni wanangu Naitwa Pastor Richard SoMo ondoa fikira chafu ufunguliwe Linalenga SOMO Hili Kukufungua uliyefungwa na fikira chafu au fikira zakujiona wewe mateso sehemu yako. Fikira Ni Nini?? Fikira Ni Hali ya Mtu kujijengea tabia fulani katika maisha tabia hiyo inaweza kuwa chafu au nzuri. Sasa Chazo chake huitwa fikira yaani mtazamo usiobadilika. Fikira imegawanyika katika Makundi Mawili. 1;Fikira Yenye Nguvu 2:Fikira isiyo na Nguvu Fikira Yenye Nguvu Ni Hali ya Mtu kwenda sabamba na mabadiliko ya nchi na kuwa mwepesi kubadilika Kutoka pale anapoona hapampi Faida kwenda kwenye Faida mfano; Nataka niwe na biashara kumbwa Huyu mtu anafikiri hivi Sasa anatakiwa Aifanye biashara Yake iwe Kubwa kwa kutofautisha Huduma na Wegine hata kuitangaza Mfano unauza online uona biashara haiendi hakikisha Unafanya kazi kumbwa kuitangaza tu na kuielezea biashara yako mtandaon...