Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 6, 2020

SOMO;JITOE KWA MUNGU

SOMO:JITOE KWA MUNGU KAMA MKRISTO NDIO KIPIMO CHA UKRISTO Tufunue Vitabu hivi Tusome 👉 Warumi 6:13👉 Waebrania 9:25👉2Nyakati:30:8 Naitwa Pastor Richard Kama Ndio Mara ya Kwanza Kunifatilia Nipo Morogoro Veta Dakawa Askofu na Muasisi wa Makanisa ya Holy Spirit Tanzania Karibu Leo Tukumbushane haya Kama Wakristo Na Wajibu wa mkristo katika JUKUMU la Kujitoa Kanisani Mali zako na Pesa ZaKo Kuhakikisha Unaipenda Nyumba ya Baba yako na Kuamua kubadilika mwili wako Akili Yako Na Elimu yako ulioipata ukaamua uvitumie kwa Ajili ya Kumtumikia Mungu MAANA YA KUJITOA: Ni Kufanya Jambo kwa moyo wote linalompa Bwana Utukufu na Kuwaponya watu kiroho mfano Ijue Ndoto yako Shuhuda na Masomo yamekuwa  Baraka na Wengi wameokoka toka mwaka 2015 Nilipoanza kutuma Masomo mtandaoni huu Ni mfano was kujitoa Kupitia mtandaoni Ukawa unatoa Elimu ya kuponya watu kiroho KUJITOA KWA ELIMU Mfano wewe Daktari; Unaweza Kuadaa Masomo ya Afya Tu Ukajitoa Kuwafundisha watu bu...