SOMO: USHUHUDA WA KUJUA UNAEMTOLEA SADAKA KIBIBLIA
SOMO: USHUHUDA WA KUJUA UNAEMTOLEA SADAKA KIBIBLIA. Karibu ujifunze kitu somo hili Unapotoa sadaka hakikisha unajua unaemtolea ni Mungu wako aliye hai siyo mtu au mchungaji toa Sadaka kwa imani Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp yangu +255759861768 Nifate nikuuge kwa group la maombi na mafundisho 1:KONELIO BIBLIA INASEMA ALITOA SADAKA KUWAPA WATUMISHI WA BWANA NA WATU 👇👇👇👇 Soma kitabu; Matendo;10;1-33 Lakini kilichokuwa cha ajabu malaika alishuka na kumwambia Sadaka zako zimefika mbiguni Mungu Ameona Moyo wako. Unajiuliza Sadaka kawapa Watu Mbigu zinafugukaje Wakati anawapa watu. Jibu. KONELIO Alijua Mungu anayemtolea Sadaka Alijua Siwapi watu mimi namgusa Mungu moja kwa moja. Haleluyaaa hebu jaribu nawewr mbigu kuzifungua kwa utoaji. Jifunze hili kwa Konelio 2:HABELI BIBLIA INASEMA ALITOA SADAKA KWA IMANI BILA KUSITA SITA TENA NZURI. 👇👇👇👇👇 MWANZO; 4;1-10 Jifunze unapotoa Sadaka yako hebu uwe na imani Usitoe Sadaka huku huna i...