DALILI 10 ZINAZOKUJULISHA UMEITWA NA MUNGU UKAMTUMIKIE UKAOKOE ROHO ZA WATU
SOMO: DALILI 10 ZINAZOKUJULISHA UMEITWA NA MUNGU UKAWE MTUMISHI WA WATU WAKE. Rejea Yona:1 Sura yote. Yeremia:1 Sura yote. Kutoka:3 Sura yote. Isaya. 6 Sura yote. Watu wengi Leo Wanapitia Matatizo kwa Sababu Waliitwa wakafanye kazi ya MUNGU wakaenda kufanya vitu vingine Sasha kila wafanyacho hakiendi Audi Ameruhusiwa awatese nakuwashinda Sababu Wamekimbia Wito. Naitwa Askofu Richard Julius Kushoka Nipo Morogoro Makao Makuu ya Makanisa Ya Holy Spirit Church Tanzania. 1:Kuwa na Visingizio Visivyoisha Kwenye Wito wake. Yaani Unapopewa ratiba ya kufanya huduma kanisani una Sababu kibao kila siku Udhuru. 2:Kufatwa na Watu wengi Wanakuambia Neno lile like La Wito wa Kumtumikia MUNGU. 3:Kuota Ndoto Unahubiri au upo kanisani Ndoto za kanisani Kanisani tu mara unaombea watu unawafungua watu unawaombea. 4:Kila Kitu Kinaanza Kufa Chochote Unachofanya Kinakufa yaani unaanza kupitia majanga Yasiyoisha Yaani unajikuta unateseka KWELI KWELI. 5:Malengo Yako Yanakufa ...