SOMO:2023 #IJUE NDOTO YAKO
SOMO:IJUE NDOTO YAKO MAANA YAKE UNAJULISHWA NINI? Tunaongozwa na AYUBU:33:14-15 Mwanzo;37:5-20 Yeremia:23:23-32 Danieli:2;5-45 Motto : 2023 Ni Mwaka Wa Majibu. ZABURI. 20:1 UTANGULIZI Ndoto huwa ni taarifa anayopewa muotaji juu ya jambo litakalotokea au Linaloendelea wakati huo au lilishapita Siyo kila ndoto ni Ya Mungu hata shetani huweza kumuotesha mtu ndoto na si shetani tu hata akili ya mtu anapochoka na mawazo ya kufikiria Jambo au kulipenda jambo Sana Usiku akilala huweza kuota Sasa unawezaje kutofautisha Ndoto a Anayokuotesha shetani na Mungu fatana nami katika somo hili Naitwa Bishop Richard kutoka Kanisa la Moto Wa Yesu Morogoro Veta Dakawa WhatsApp +255759861768 nakukaribisha katika Somo hili litakalokufanya ujue maana ya ndoto yako NDOTO ZIPO MAKUDI MATATU. 1:NDOTO ZA MUNGU= Hizi huwa ni ndoto unazoziota zisizo za kutisha au kukimbizwa ndoto nzuri zote huwa za Mungu Na Lengo lake kukuotesha kukujulisha jamb...