SOMO:NINI MAANA YA SADAKA
SOMO: NINI MAANA YA SADAKA NDANI YA KANISA Mathayo:5:22-25 Waebrania:13:16 Hesabu:7:23-50 Kutoka:10;12 Zaburi:119:108.15:8 Yohana:3;16 Soma hivi vitabu KARIBU UJIFUNZE NINI MAANA ya SADAKA NA KUNA AINA GAPI NA Umhimu wa Kuwa nasadaka. Naitwa ✍🏼 Moto wa Yesu au Pastor Richard wa Morogoro veta Dakawa Inawezekana huwa Unajua sadaka Ni kumtolea Bwana au nikitu unachokitoa Kwa Kanisa wagonjwa nk. Tutaanza Kuona Sadaka Ni Nini? Sadaka Ni Nini? Sadaka huwa Ni kitu chochote unachoweza kukitoa au Kukifanya Kwa Ajili kitu Fulani : Pia Sadaka Ni Ibada Kamili inayokufanya kile unachokiamini kijibu kwako .Sadaka hutolewa Kulingana na maelekezo na utaratibu wa eneo husika unapotolea sadaka. Mfano Sadaka ambazo huhitaji muongozo na maelekezo 1:Zaka;(Fungu la Kumi na Ukombozi,Kuteketezwa)HIZI huwa hazitolewi bila muongozo wa Mchungaji au anayekulea Kiroho. SADAKA HUTOLEWAJE. Sadaka Ni Siri yako na Madhabahu unayoitolea Sadaka hutolewa Kwa mrezi wako wa kiroho au Kanisani. Hizi huw...