Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 7, 2018

TUMIA AKILI IPASAVYO

✔✔ *SOMO :  TUMIA  AKILI  IPASAVYO* 1 koritho 2:11-14 Rumi 1:21-22 Akili ni sehemu Moja wapo aliyopewa mwanadamu avitumie ili kuishinda tamaa na hila za shetani ila akili  Pekee haiwezi lazima apate  msaada wa  Roho Mtakatifu bila msaada wa  Roho Mtakatifu akili Huenda kumpotosha na inapompeleka tofauti ni  Pale huyu  Mwanadamu anapoanza kujiuliza haya  maswali au kuongea haya 1-Hakuna MUNGU au  MUNGU hawezi Tenda hilo 2:MUNGU  Anakubaliana na uovu au kumliganisha au kumchunguza tabua ukimuona Mtu wa hivi Amekwishapotea akili yake imempoteza wengine humtafit MUNGU Na kujiuliza Juu ya Uweza wake Naposema Tumia  Akili  au  Uwe  Na Akili ya kupambanua vitu  kujitambua Wewe ni mtoto wa kifalme ukasimama na Mungu  Hakuna kushindwa 1:Tambua wewe na nani usijiliganishe na watu ambao hawajapata ufahamu wa kumjua MUNGU  Yaani  Kuokoka wakaachana na Yale ya nyuma Ukijielewa hil...

SOMO: SHETANI , IBILISI

👆🏽✔ *SOMO: SHETANI (IBILISI)* EZEKIELI :28:12_18 MATHAYO 13:39 Shetani ni nani? Shetani huwa ni kiumbe aliyeumbwa  na  Mungu   pia ni Malaika aliyeasi na kutupwa hapa duniani  Mambo ya kujua ni haya Kuhusu shetani 1:Aliumbwa akiwa mkamilifu Alikuwa mmoja wa makerubi Mbinguni hawa ni Malaika waliozunguka kiti cha enzi Mbinguni EZEKIELI 28:12-14 ALIKUWA NA KILA SIFA  ALIKUWA MCHA MUNGU  ANAYESIFU UTUKUFU WA MUNGU ALIKUWA NA HESHIMA KUMBWA ALIYOPEWA  KATIKA YA MAKERUBI KULE MBINGUNI EZ. 28:13 , 2:KUAGUKA KWA SHETANI Shetani alipoona Anaongoza sifa kumwinua MUNGU kuwa ameheshimishwa katika ya Malaika wengine aliingiwa na Sifa hizi -Dhambi yake Aliaza kiburi na Jeuri nyingi kama ilivyo Leo anapowaingia watu huwa wanasahau walikotoka hata mtu akiinuliwa tu kidogo anaanza dharau au mtoto wa kiroho Anakuwa hivi huwa shetani anaanza kumtumia Alijitazamia alivyo Mzuri Kuinuliwa kwake Hekima yake Mithali 16:18 3 *:BA...

MAOMBI MBALIMBALI Ingia hapa

🌳🌳 *MAOMBI  MBALI MBALI*🌳🌳 *1:Maombi yakufuguliwa* 2:coritho 10:3-6 Mambo ya kuzingatia uingiapo maombi haya a. TOBA YA KWELI b, Kumkiri Kristo (Uokoke uachane na Yale ya kale na Uwe mfatiliaji wa Mafundisho na injili kuihubiri kwa wengi 3:Imani Uwe na Imani Baada ya  Kujichunguza ukajiona upo nayo hii rahisi kufughuliwa Anza na  maombi haya kuombea kufuguka kwa matatizo yako 1:Agalia Tatizo linalokutesa huwa linaanzia wapi 2:Jiulize kwanini huwa hivyo 3:majibu unayopata Sasa ANZA kuomba kwa kufuga mlango unaoingiza Tatizo Maombi Yake Baba Ansate Katika jina la Yesu  Ninaomba nisamehe Baba nimekukosea sana ndio maana maisha yangu yamevurugika mimi mwanao___Natubu najuta naahidi sitakuacha tena nakataa hali___YA mimi(Taja Hali iliyokufuga au iliyomfunga unayemuombea)  nafugulia Afya nakufuga hali ya___sitaki niishi maisha hayo katika jina la Yesu Mnazareth Amen Hakikisha unalikataa Tatizo na Roho zote zilizoshika wew...