Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 14, 2023

MAOMBI YA KUJENGA UCHUMBA

MAOMBI YAKUJENGA MADHABAHU YA UCHUMBA NA NDOA Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Nakukaribisha uombe nasi. Katika ulimwengu wa roho kuna kitu kinaitwa madhabahu inayobemba ubavu wako nakukuletea wewe hii madhabahu adui anapoivunja au Kuibomoa Yeye Ajengaye mahusiano au uchumba unakuwa unajenga palipobomoka hakuna nguvu inayowauganisha mkae mume na mke unakuta tayari shetani au falme zake zimejenga madhabahu ya kutoolewa yaani wachungaji wataomba sana bila matokeo. Pia zipo ndoa nyigi shetani Amejenga madhabahu zake na Amezifanya zisiwe na Amani au furaha zingine zimevunjika. USIPOJENGA MADHABAHU YA BWANA NDANI YA NDOA YAKO AU UCHUMBA WAKO TENGEMEA SHETANI ATAITESA. ISAYA anasema utapajenga palipoharibiwa Na Kubomolewa Adui Ameharibu mahusiano yako umri unaenda huowi au huolewi shinda hakuna nguvu ndani yako yenye kuongea nakukutanisha na wako sahihi. Tusome mstari huu👇👇👇 Isaya 58:12 [12]Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya viz...