Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 26, 2024

SOMO:MAOMBI YA KUHAMISHA

SOMO:MAOMBI YENYE NGUVU YA KUHAMISHA KILA LINALOKUTESA. 🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣   Soma urudie rudie  ili Kuelewe   👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇   1 Wakorintho 13:2   [2]Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri   zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.  👇👇👇👇👇👇👇👇 Katika ulimwengu wa roho kuna milima inayokuwa inakutesa milima ya madeni milima mahusiano kuvunjika vunjika milima ya kutokulipwa Pesa zako ipo milima mingi Ambayo lazima ihamishwe na ili wewe uweze kupita au kuvuka. Eneo hilo. Nakukaribisha maombi haya Ya Kuhamisha Milima yaani matatizo. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni  Kanisa la Holy Spirit church Tanzania. MAMBO YA KUZINGATIA TUNAPOOMBA MAOMBI HAYA: 1:Tambua Matatizo au Tatizo ngani unataka uhamishe liondoke mbele Yako. Soma👇👇👇 Mithali 1:2 [2]Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu;...

SOMO; MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE ANGA NA NGUVU ZA NGIZA

SOMO: MAOMBI YA KUJIKOMBOA  NA UFALME WA ANGA NA NGUVU ZA GIZA (HAYA MAOMBI YA HATARI NA YANAITAJI WAOMBE WATU WENYE IMANI) Nasikia Sauti Ya Mungu Ikiniambia Wafundishe Wanangu Maombi Ya Kujikomboa na Anga lilowashika na Falme mbalimbali Tulia uweponi nikufundishe nawewe uwasilishe kwa wanangu hii ni sauti. Watoto wengi wa Mungu hupambana Vita Pasipokujua ufalme wanaopambana nao huchukulia maombi kama mchezo na wengine hununa wakiambiwa kuomba Wapo wengi Hawapendi Kuomba halafu wanamipango mikubwa na malengo unajikuta mipango inakufa malengo hayatimii kumbe Kutokujua Ufalme Anaopigana nao. Karibu Naitwa Pastor Richard.   KABLA YA KUOMBA  LAZIMA TUUJUE UFALME TUNAOPIGANA NAO 🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝 JUA ANGA KWANZA KIROHO ( Mwanzo:1:6-20) ANGA NI NINI..? Anga ni mpaka unaotenganisha kitu kigine na kitu kigne. Chochote kinachokufanya usipokee au kukutenga na kitu hiyo nguvu huitwa Anga. Anga linauwezo wa kuzuia na kufungua na Kuruhusu chochote kikupate. Kwa Mtu aliye...