SOMO:KIJANA MKE MWEMA HATAFUTWI HULETWA NA MUNGU
☺️☺️SOMO😊 KIJANA MKE MWEMA HATAFUTWI HUTAFUTWA NA MUNGU. Tufunue Vitabu hivi; Mwanzo;2;20-24 Mithali;19;14 Ruthu:3;11 Mithali:31;8-10 Siku Zote kitu kilicho chema huwa kazi Sana Kukipata na kukiona endapo utatumia akili zako au wewe usiwe na Sifa ya kumiliki kitu chema huwezi Kukipata Utapata kinachofanania au kukaribiana Lakini Ukifata hatua Hizi Kama Upo kwenye Utafutaji wa Kuoa/Kuolewa Utapata MKE sahihi muda sahihi Na Ataletwa Na Bwana Wala wewe hutahagaika Kupoteza Muda wako Kutafuta Bint wa Kuoa au Mme wa Kukuoa. Karibuni Vijana mjifunze kitu....... DARASA hili linalenga Vijana wakike na wakiume Ambao wanafikiri MKE mwema/Mme mwema hupatikana kiurahisi kwa akili ZaKo Ni ngumu Sana kumpokea Endapo Akili Yako ikiwa imemshikilia mtu. Kwanza Toka Mwanzo Adamu Alipofikia Umri wa Ujana Wake Anataka Kuoa Mungu Alimpa Usingizi mnono nakumletea mwanamke Kupitia ndoto na Baadae alimpata Eva Kama maono yake yalivyokuwa Adamu Alipita Hatua Zipi Tunazopa...