Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 15, 2021

SOMO: NGUVU YA UPENDO

SOMO: NGUVU YA UPENDO Waamuzi:16:15 1Samweli:18:22 Zaburi:18;1 YOHANA:21:15:18 UPENDO Ni kujitoa maisha Yako Kwa Ajili Ya Kitu unachokipenda. KUPENDA Ni Kukichukua Kitu Kilivyo Na Kukiweka moyoni Pasipo Kuona Mawaaa NAKUPENDA Ni Kuutoa uthamani wako maisha yako kwa Ajili Yake KWANINI TUNAPENDA 1:Ni Tabia Asili ya Kimungu ndani Yetu iliyoumbika 2:Ni Kwa Sababu Kile Tulichokipenda Kisipotee Tukilee mpaka Kufikia Ndoto Zake 3:Kwa Sababu Sisi ni Daraja La Wengine KWANINI TUKIPENDA TUMEPENDA 1:Ni Kwa Sababu Tumekikabidhi Kile Kitu Kitumiliki 2:Ni Kwa Sababu Ya UKweli na Uwazi Wetu 3:Kwa Sababu Ya Upekee wa hicho kitu KUTOTOFAUTI KATI YA UPENDO WETU NA MUNGU ANAVYOTUPENDA NDIO TOFAUTI ZAKE NI HIZI 1:Mungu Huvumilia madhaifu nakutusamehe bila kuchoka lakini Sisi huchoka 2:Upendo wa Mungu huaza Kwa Uwazi Lakini Sisi huaza kwa Kujificha. 3:Upendo wa Mungu Ni wakudumu Lakini Sisi ni Wamuda TU 4:Upendo wa Mungu hauoni Mabaya Lakini Sisi Tunaona mabaya 5:Upendo wa Mungu NI Wo...