Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 27, 2016

MAOMBI YA KUSIMAMISHA HUDUMA HOLY SPRIT MINISTRY KWENYE VITUO.

ANDIKENI KATIKA KARATASI MCHAPE WATUMISHI WA MOTO WA YESU. HATUA YA 1 MAOMBI YA TOBA NA MSAMAHA NJISI YA MAOMBI. eeh bwana yesu nakukimbilia wewe baba yangu natubu maovu yangu kabla ya kukujua niliofanya nakri nilipotea sasa nimeijua kweli yako mimi mwanao nirehemu.KWA UPENDO MWINGI NITUMIE UPENDAVYO WEWE NITAWALE YESU DANI YANGU.AMEN MAOMBI YA MSAMAHA. eeh bwana yesu naomba unisamehe katka njia zangu matendo yangu na mimi taja jina lako nisamehe sana nalia mbele zako nimekukosea mengi makosa ya kuzini uogo nilikunywa pombe nilienda kwa waganga nilidharau neno lako nk mimi leo taja jinalako nimejua nimekukosea eeh baba najishusha mbele zako naitaji nikawe mtoto mwema baba ukanitumie kuokoa roho za watu ukanitumie kulitangaza neno lako nakiri nitakutumikia ktk holy sprit ministry huduma ya kuongozwa na roho siku zote nakumtii baba yangu wa kiroho mch.richard MAANA KUPITIA YEYE MPAKA UMENIONA MIMI.AMINA MAOMBI YA KUTAWALA ANGA. Baba ktk jina la yesu nasimama mbele zako kukukabidh...