Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 27, 2020

SOMO;Misingi 3 Ya Kabla ujaingia ndoa

✍️✍️SOMO; MISINGI MITATU (3) YAKUBORESHA NDOA YAKO IWE YENYEFURAHA NA YAKUDUMU KATIKA AMANI✍️✍️✍️Chukua hii Ufurahie ndoa yako🙏🙏 Karibu Mtoto wa Mungu Tuelimishane nakujifunza Katika nguzo tatu za kuandaa ndoa iliyobora ndoa Yenye Amani na furaha ya kudumu Tufunue Biblia Zetu 1Timotheo;2;11-14, 1wakoritho:7;2-39 ,11:1-13 Mwanzo;34;12 Mithali;30;10 ✍️✍️Lengo La Kuwepo Darasa la Wanandoa ✍️🙏Ni kufufua mahusiano yasiyodumu nakufikia Malengo kuwajengea Elimu ya KuZijenga na kuimarisha ndoa Zetu Kama Kristo Alivyolijenga kanisa lake. ✍️✍️DHIMA YETU Kama Moto wa Yesu Kufanya ndoa ziwe na Amani na upendo uliojazwa hofu ya Mungu. ✍️✍️Misingi Nini ? Ni chochote kinachosimamisha Jambo liwe imara ✍️✍️✍️Darasa la Wanando ✍️✍️Mwalimu Wa Wanandoa. Nipo...

SOMO;MAMBO YANAYOLINDA UCHUMBA

🗨️.SOMO; MAMBO YAKUFANYA ili KULINDA UCHUMBA WENU USIVUNJIKE. ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL WA WANANDOA Nipo Morogoro Veta Dakawa Mithali:30;9-10 Mithali;12;4 KARIBU KATIKA DARASA LA WANANDOA Tuongelee Mambo unayotakiwa uyashike mahusiano Yenu ili kuyalinda yasivunjike Unapaswa chukua Elimu hii 1. Udhibiti wa taarifa kwa   wengine: ✍️✍️  Kadri unavyoelezea mahusiano yako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni, na hata kudhani kuwa Awana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Hivyo basi, chukua muda wa kutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu maswala yako ya mahusiano kabla haujaanza kutafuta maoni, ushauri kwa watu wengine. Ni bora ukasoma vitabu, na makala mbalimbali, hususani zihusuzo tabia na maisha ya mahusiano, zitafakari vema ili kuona zinahusiana vipi na unayokumbana nayo katika mahusianao yako. 2. Upekee wa mambo ya mw...