SOMO: TUNAONA NGUVU YA UDHIHIRISHO
🥦SOMO: 🥦TUNAONA NGUVU YA UDHIHIRISHO KUBWA MWAKA HUU.2021🥦✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ Jumapili:3/1/2021 Somo la Kwanza Kwa Mwaka huu Mwalimu Pastor Richard Kila Mwaka Katika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu huwa Bwana Anatuuliza Mwaka huu Mnaona Nini Nasisi Hutamka Neno alilotupa Tutembee nalo Basi Mwaka Jana Tuliona Ushuhuda mwaka huu Tunaona NGUVU Kubwa Mungu Wetu Akitudhihirishia Watoto Wote wa Madhabahu hii Nakukaribisha Tujifunze Tunaona Na Kwanini Tunaona hivyo Udhihirisho wa Bwana. ⛪⛪⛪⛪⛪🏬🏬🏬🏬🏬⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩...