Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 26, 2020

Somo: Mahusiano Kati ya Maombi na Imani

SOMO : MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA MAOMBI NA IMANI. Tufunue Biblia Zetu:Waebrania:11:1-20 Mathayo:15;20-30, 1Timotheo:1:5-13 Imani: Ni uhakika wa Kupokea na kuwasilisha kiroho kuleta Matokeo ya kimwili. Maombi; Ni mawasiliano ya Kupokea na Kutoa haja ya kitu kiroho kuleta kimwili: MAHUSIANO; Maombi hutengemea imani na imani hutengemea maombi Huwezi Kupata Matokeo ya unachokiomba Endapo hauna Matarajio ya unachokiomba. Huwezi Kupokea majibu Endapo maneno yako unayotamka Ni yakukata tamaa lakini ndani yako Imani ikawa haijakata tamaa Kumbe Neno linaleta Matokeo ya unachokiamini Kwa MUNGU sio Imani ndio inaleta Matokeo Imani Ni uhakika unachokiamini Neno Ni Uhakika unachokitamka ndani yako. Mfano wewe ukawa huolewi maneno yako mengi yakawa nitaolewa Tena ndoa yangu itakuwa Kubwa Kile unachokitamka kitatimia lakini ukawa unaamini utaolewa Kinywa Chako ukawa unatamka Kuolewa Ni mpango wa MUNGU Mimi nishajikatia Tamaa ya Kuolewa Kupitia Maneno yako hutapokea hata uombeajwe. CHAKULA...