MAOMBI HAYA YAOMBE USIKU UKIWA UMETULIA
MAOMBI HAYA YAOMBE USIKU UKIWA UMETULIA Maombi Ya Kufungua MILANGO iliyofungwa 🥦🥦🥦🥦🍈🍈🍇🍈🍈🍈🍈🍈 Tamka kwa kukaza Sauti Omba kwa Sauti OMBA HIVI 1;Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kila kitu ambacho kinazuia kutimizwa kwa mipango yako kamili katika maisha yangu. Ninaamuru na kutangaza kwamba kila mnyororo, kamba, gereza, pingu kwamba zimefunguliwa, zimekatwa, na kuondolewa kutoka kwenye maisha yangu katika jina la Yesu. 2:Baba, Bwana Nakushukuru, kwamba wewe pekee ndiye hakimu wa maisha yetu, kwa mujibu wa Yeremia 17:9-10 Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Mimi, Bwana, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake. 3:Baba naomba katika jina la Yesu, kwa mujibu wa Zaburi 22:19 Nawe, Bwana, usiwe mbali, Ee Nguvu zangu, fanya haraka kunisaidia. Baba naomb...