SOMO: MADHABAHU
MADHABAHU Ni Nini? Vitabu;Isaya:17:8 Kutoka:32:5 👉🏼👉🏼Madhabahu Ni mahusiano Kati yako na Mungu au Shetani 👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿 Mathayo 23:19-21 [19]Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka? [20]Basi yeye aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo, na kwa vitu vyote vilivyo juu yake. [21]Naye aa...