Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 31, 2025

SOMO:MALAIKA METATRON

SOMO:MALAIKA MKUU METATRON (MALAIKA WA WATOTO ) Mwal.Pastor Richard Wa Morogoro  WhatsApp +255710889892 ZABURI;8;2 Isaya:49:25-26 ISAYA:54:13 13 Watoto wako wote watafundishwa na Bwana, nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu." Metatroni Ni Malaika Mkuu Kati Ya Wale Malaika Saba Wanaotajwa Ufunuo:8:2 Malaika Mkuu Metatron Ni Mlinzi na Msimamizi Wa watoto wachanga kuanzia mwaka 0-5 Hii like huwa linasimamiwa na Malaika wa Watoto Ambaye Kiongozi wa Kundi hili Huitwa Metatron. MAJUKUMU YAKE HUYU MALAIKA PAMOJA NA WEZAKE; Kwanza ieleweke huyu Metatron ni Malaika Mkuu wa Ulinzi na Usimamizi wa watoto nyuma yake Anaongoza wengine kundi kubwa. KAZI ZAKE MAJUKUMU YAKE. 1:Kutunza Watoto kuanzia umri wa kuzaliwa mpaka miaka 5. 2:Kuwafundisha watoto wachanga kuongea yaana kutamka. 3:Kuwajulisha Hatari watoto na Kuwalinda na Hatari. 4;Kuwajulisha Wazazi Wao Watoto Kujua mama yake Baba yake huwa ndio watu wa kwanza Malaika atawafundisha kujua wachanga. 5;Kutoa taarifa kwa mzazi mtoto akisiki...