SOMO: NGUVU YA KUFANIKIWA
✍️✍️SOMO; NGUVU YA MAFANIKIO Tufunue Biblia Zetu Tusome Matendo;11;29,3Yohana;2;2,Yoshua:1;7 ✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️ NGUVU YA MAFANIKIO ni Hali inayomsukuma mtu kwa bidii na ujasiri nis Yote kufikia Malengo Yake. Bila mtu kuwa na nguvu ya mafanikio huwa hawezi kuitwa mtu mwenye mafanikio Tunapaswa Sasa Tujue Kwanini Wengine wanafanikiwa halafu kwanini Wengine hawafikii Kusundi lao. KUNA AINA 2 ZA WATU KATIKA MAFANIKIO. a.Kundi la Kwanza Ni Watu WENYE UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI. Kundi Hili huwa watu waliojikatia Tamaa na wanamtazsmo wa kuona watu flani flani wenye hadhi flani ndio wanaofanikiwa. Kufikiri kwao na Nia ya kufanya kazi Hakuna huishi kwa kuaglia mwingine na sio yeye Ukikaa nae anamaneno ya kukatisha Tamaa Anawaza kushindwa tu. Huwa Wana Dalili Hizi watu Hawa. 1;Wanaongopa maisha Ukiongopa maisha kila kitu Utashindwa maana ulishaona maisha yamekupin...